JIFUNZE BIASHARA ZINAZOLIPA KUTOKANA NA MABADILIKO YA TECHNOLOGY,MIFIMO YA MAISHA NA MABADILIKO YAKIUCHUMI

Habari.Leo ktk bishara wapenzi wasomaji wa  ukurasa wangu  ningependa kuongelea BIASHARA MTANDAO.
    
BIASHARA MTANDAO NI NINI?
Biashara mtandao, huu ni mfumo wa usambazaji bidhaa za makampuni husika kwenda kwa walaji kwa kupitia walaji wanachama ambao nimawakala waliopata mafunzo na kuaminiwa na kampuni husika.

NISABABU GANI BIASHARA MTANDAO INAKUA TOFAUTI NA BIASHARA ZINGINE?
Zifuatazo NI sababu muhimu zinazoifanya biashara mtandao tofauti na zingine,japo kumekua na uelewa mdogo kuhusu biashara hii hasa kwa nchi zinazoendelea,
   Na ndiomaana kwa sehemu kubwa wengi wanaiona ni kama utapeli kutokana na elimu duni inayotolewa kwa mawakara wanaotumika kutangaza product na kampuni kwa ujumla kutokua na ujuzi wa kutosha kuifanya kazi ili watu wawaelewe.
     Zifuatazo NI sifa na faida za biashara ya mtandao kama mtu ataamua kuifanya kwa weledi.
1.NI biashara inayotumia mtaji mdogo.
2.katika biashara hii wewe ndio boss wa biashara yako, unaweza kuifanya au usiifanye .

3.,NI biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mda wako wa ziada bila kuharibu ratiba zako zingine
4.NI biashara inayoweza kukutanisha na marafiki wapya hivyo itakusaidia kutengeneza Chanel mpya ktk maisha,nakujenga udugu/familia mpya.
5.NI biashara ambayo ukiifanya kwa weledi inabadilisha maisha yako kwa kukupa kipato kikubwa zaidi  tofauti na ajira zingine,
NJIA ZINAZOWEZA KUSAIDIA KIPATA PESA KIPITIA BIASHARA HII

Hapa ntaongelea njia tatu tu japo zinaweza kua nyingi ila hizi ndio kubwa na muhim pia.
1.kuuza product za kampuni
2.kuuza/kutangaza jina la kampuni.
3.kuingiza wanachama ktk kampuni
Hizo NI njia chache ambazo zinakufanya wewe utengeneze pesa Kupitia mtandao
  Nazani kwa Leo niishie hapo next time ntaongelea mambo muhimu sana yakuzingatia katika kuifanya biashara hii.

KABLA SIJAHITIMISHA NINGEPENDA KUWAACHA NA MASWALI HAYA. 1.JE unazifaham mbinu za kuifanya biashara hii kupitia mtandao?
2.Je umewahi kuifanya au unaifanya lakini wateja au wanachama wamekua ni changamoto kuwapata
3.JE unafamu kua Facebook,instergram, youtube, na whatsap  unaweza kuifanya kua duka lako?
4.JE unajua uandishi mbaya wa matangazo unaweza kukufanya usipate MTU hata mmoja wakununua bidhaa yako?
5. JE unajua heshima,matumizi bora ya ulimi(lugha nzuri)kwa wateja, ubora wa product zako, na uaminifu ndio mambo muhimu  yanayoweza  kukufanya utimize ndoto zako?.
Majibu ya maswali haya yote yanapatikana kwale wote watakaopenda kujifunza,tukutane hapa hapa jamvini au niandikieEmail ,josephbenedictor61@gmail.com
Au whatssapp 0675564301
Au ingia whatsapp kwa kuandika neno niunge kwenda no,0675564301.ili ujifunze bure.

Comments :

Post a Comment