UGONJWA WA KUTOKWA KINYAMA SEHEMU YA HAJAKUBWA(#BAWASIRI) Fahamu chanzo cha maambukizi ,dalili zake pamoja na matibabu yake. Bawasiri ni ugonjwa ambao umekuepo kwa mda mrefu lakini watu wengi wamekua wakiupuuzia au kuuona kama in ugonjwa wa aibu hivyo kupelekea tatizo hili kua kubwa huku wengi wao wakiishi nao kwa siri huku wasijue nini chakufanya, au wanajua no ugonjwa unaotibika lakini aibu au njia za oparation zikibaki kua kikwazo kwao kwani wengi wao wamekua waoga wa njia hiyo ya matibabu.
Posts
PUREWELL WATER_FILTER Pure_well water_filter ni kifaa/mashine iliotengenezwa kwa technology ya Hali ya juu na kampuni ya_bf_suma inayojishughulisha na Utafiti wa masuala mbali mbali ya Afya,na uzalishaji wa tiba lishe,Mashine hii ni kwaajili ya kusafisha maji, kuyatibu, na kuyaacha yakiwa sarama kabisa kwa matumizi mbali mbali ikiwemo kunywa.kwani mashine hii huyaacha maji yako yakiwa sarama kabisa. Mashine hii inauwezo wa kufanya mambo yafuatayo katika ubora wa ya juu;, ( 1) Inaondoa kutu kwenye maji. (2) Inaondoa vumbi. (3) Inaondoa bacteria. (4)Inaondoa clorine. (5)Inaondoa harufu mbaya Kwenye maji na kuyapa radha Nzuri (6)inaondoa chemicals kama vile ...
JIFUNZE BIASHARA ZINAZOLIPA KUTOKANA NA MABADILIKO YA TECHNOLOGY,MIFIMO YA MAISHA NA MABADILIKO YAKIUCHUMI
Habari.Leo ktk bishara wapenzi wasomaji wa ukurasa wangu ningependa kuongelea BIASHARA MTANDAO. BIASHARA MTANDAO NI NINI? Biashara mtandao , huu ni mfumo wa usambazaji bidhaa za makampuni husika kwenda kwa walaji kwa kupitia walaji wanachama ambao nimawakala waliopata mafunzo na kuaminiwa na kampuni husika. NISABABU GANI BIASHARA MTANDAO INAKUA TOFAUTI NA BIASHARA ZINGINE? Zifuatazo NI sababu muhimu zinazoifanya biashara mtandao tofauti na zingine , japo kumekua na uelewa mdogo kuhusu biashara hii has a kwa nchi zinazoendelea , Na ndiomaana kwa sehemu kubwa wengi wanaiona ni kama utapeli kutokana na elimu duni inayotolewa kwa mawakara wanaotumika kutangaza product na kampuni kwa ujumla kutokua na ujuzi wa kutosha kuifanya ka zi ili watu wawaelewe . Zifuatazo NI sifa na faida za biashara ya mtandao kama mtu ataamua kuifanya ...
Tunachimba visima vya maji safi,virefu na vifupi,tunapima kabla ya kuanza kazi,ili kutambua maji yapo umbali kiasi gani au hayapo kabisa,kutambua wingi wa maji nk.tunavifaa vinavyoweza kutambua kama eneo linamaji ya chumvi au halina Pia kama eneo linachumvi tunazo njia za kuiondoa na ukapata maji ambayo ni safi na sarama kwa matumizi, Tunapatikana dar, na pia tunafika mikoa mingine yote Tanzania, Kukoswa maji kwetu ni mwiko haijawahi kutokea,tunachimba na maji yanapatikana ndani ya 1_5 tu,kutegemeana na ukubwa wa kazi. 0675564301 ,, karibu tukuhudumie , piga number iyo sasa kwa huduma au maswali na utajibiwa kwa wakati, Hatubabaishi tumejipanga kukuhuhudumia na tupo tayari . 0675564301