UGONJWA WA KUTOKWA KINYAMA SEHEMU YA HAJAKUBWA(#BAWASIRI)

Fahamu chanzo cha maambukizi ,dalili zake pamoja na matibabu yake.

Bawasiri ni ugonjwa ambao umekuepo kwa mda mrefu lakini watu wengi wamekua wakiupuuzia au kuuona kama in ugonjwa wa aibu hivyo kupelekea tatizo hili kua kubwa huku wengi wao wakiishi nao kwa siri huku wasijue nini chakufanya, au wanajua no ugonjwa unaotibika lakini aibu au njia za oparation zikibaki kua kikwazo kwao kwani wengi wao wamekua waoga wa njia hiyo ya matibabu.

Comments :

Post a Comment