WACHIMBAJI WA VISIMA VYA MAJI VIREFU NA VIFUPI

Tunachimba visima vya maji safi,virefu na vifupi,tunapima kabla ya kuanza kazi,ili kutambua maji yapo umbali kiasi gani au hayapo kabisa,kutambua wingi wa maji nk.tunavifaa vinavyoweza kutambua kama eneo linamaji ya chumvi au halina
Pia kama eneo  linachumvi tunazo njia za kuiondoa na ukapata maji ambayo ni safi na sarama kwa matumizi,
    Tunapatikana dar, na pia tunafika mikoa mingine yote Tanzania,
Kukoswa maji kwetu ni mwiko haijawahi kutokea,tunachimba na maji yanapatikana ndani ya 1_5 tu,kutegemeana na ukubwa wa kazi.0675564301,,karibu tukuhudumie,piga number iyo sasa kwa huduma au maswali na utajibiwa kwa wakati, 
Hatubabaishi tumejipanga kukuhuhudumia na tupo tayari. 0675564301











Comments :

  1. Tulioko mikoani gharama zenu zikoje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nataka kwanza nijue kama eneo lina maji ya chumvi au hayana chumvi...je mnanisaidiaje...nikishajua ndo nitajipangs kuchimba

      0753251372

      Delete

Post a Comment